Luke 24:50-51

50 aAkiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. 51 bAlipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni.
Copyright information for SwhKC